Phrases,

Numbers and Dialogues
English - Swahili

Greeting People
English
Hello! - Habari gani? [response: "Nzuri!"]
How are you? - Hujambo? [response: "Sijambo"]

Introductions
English
My name is ... - Jina langu (ni) ...
What's your name? - Jina lako (ni) nani?
I come from ... England/the USA/Australia. - Natoka ... Uingereza/Marekani/Australia.
I'm ... [a tourist/an adviser] - Mimi ni ... [mtalii/mshauri]
I'm ... [an American/a Briton] - Mimi ni ... [Mmarekani/Mwingereza]
I'm ... [a Dutchman, Dutchwoman] - Mimi ni ... [Mholanzi]
I'm ... [a Frenchman/Frenchwoman] - Mimi ni ... [Mfaransa]
We are ... [Americans/Britons] - Sisi ni ... [Wamarekani/Waingereza]
This is my ... [husband/wife] - Huyu ni ... [mume/mke] ... wangu.
This is my ... [friend] - Huyu ni ... [rafiki] ... yangu.
I live ... (in Nairobi)/(at home) - Nakaa ... (Nairobi)/(nyumbani)
I'm not ... - Mimi si ...
We're not ... - Sisi si ...

Language Proficiency
English
Do you speak English/French? - Unajua Kiingereza/Kifaransa?
Could you speak slowly, please! - Tafadhali sema pole pole!
I speak very little Swahili. - Najua Kiswahili kidogo tu.
Could you repeat that! - Tafadhali rudia!
What's the meaning of "matata"? - "matata" maana yake nini?
"matata" means "problems" - "matata" maana yake "problems"
What's this? - Hiki ni kitu gani?
I didn't understand (you). - Sijaelewa.
I've understood. - Nimeelewa.
I don't know. - Sijui.

On the Way
English
Where is ... [the station]/[the Post Office]? - [Stesheni]/[Posta] ... iko wapi?
Where can I find ...? - Wapi kuna ...?
Where can I find taxis? - Wapi kuna teksi?
Where can I make phone calls? - Wapi mtu unaweza kupiga simu?
I would like to go to ... - Nataka kwenda ...
Where's the toilet? - Choo kiko wapi?
I missed my flight. - Nilikosa ndege.

Bidding Farewell
English
Good-bye! - Kwaheri(ni)!
I wish you (singular) ... [a nice evening]. - Nakutakia ...[jioni njema]
I wish you (plural) ... [a nice weekend]. - Nawatakia ...[wikendi njema]
See you ... [later/tomorrow]. - Tutaonana ... [baadaye/kesho]

Miscellaneous
English
Yes/No - Ndiyo/HapanaI would like ... - Ningependa ...
Could you help me, please? - Naomba unisaidie!
May I ask (you) something? - Naomba kuuliza!
Thank you (very much)! - Asante/ni (sana)
You're welcome!/Not at all! - Karibu!
Please, ... - Tafadhali ...

Next ...

Swahili - English
Welcoming People

Swahili

Karibu(ni)! - Welcome!
Karibu(ni) ndani! - Come in!
_____________________________________________________________________________________
Personal Particulars

Swahili
Jina lako (ni) nani? - What's your name?
Unatoka wapi? - Where do you [singular] come from?
Mnatoka wapi? - Where do you [plural] come from?
Habari za watoto? - How are the/your children?
Mimi ni ... Mtanzania/Mkenya. - I'm a ... Tanzanian/Kenyan.
Wewe ni ... Mwingereza/Mmarekani? - Are you ... British/American?
Unakaa wapi? - Where do you live?
Umeoa? - Are you married? [of a man]
Umeolewa? - Are you married? [of a woman]
Una watoto? - Have you got any children?
Utafanya kazi wapi? - Where will you work?
Nafurahi kukufahamu! - I'm pleased to meet you!

On The Way

Swahili
Unataka kwenda wapi? - Where would you like to go?
Nenda moja kwa moja! - Go straight on/ahead!
Sasa tunaondoka. - We're leaving now!
Panda/Pandeni! - Get in please!
Safari njema! - Have a nice trip/journey!

Miscellaneous

Swahili
Ngoja kidogo! - Just a moment, please!
Ungependa nini? - What would you like (to have)?
Oh! Unasema Kiswahili kizuri sana! - Oh! You speak very good Swahili!
Sijui. - I don't know.
Karibu tena! - Do come again (for a visit)!
Samahani! - I apologize!
Si kitu! - It doesn't matter!
Sawa! - (It's) OK!
Basi ... - So, OK ...
Nikusaidie nini? - What can I do for you?
Umeelewa? - Did you understand?