www.kiswahili.net

The Educational and Cultural Website.
TOOLS · · · RESOURCES
CalculatorsCalendars
BOOKS ··· SHOPS
Swahili BooksShop: general
Examples of Kenyan Up-Country Swahili

EnglishStandard SwahiliUp-Country Swahili
Where is he/she!- Yuko wapi?- Ako wapi?
I was at the shop.- Nilikuwa dukani.- Nilikuwa kwa duka.
Come here!- Njoo hapa!- Kuja hapa!
I don't eat rice.- Sili wali.- Sikuli wali.
I don't know.- Sijui.- Mimi pana jua.
car- motokaa- mtukaa
my friend- rafiki yangu- rafiki wangu
He/She is ill.- Yeye ni mgonjwa.- Yeye iko mgonjwa.
tea without milk- chai ya rangi- sturungi